ZIARA YA CHAMA CHA WANAUME KANISANI (AMMO)
Chama cha wanaume (AMMO) cha kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda mjini kinatarajia kufanya ziara katika Hospitali ya wilaya ya Mpanda. Lengo la ziara hiyo ni kuwajulia hali, kuwafariji,pamoja na kutoa msaada mbalimbali kwa wagonjwa. Wataambatana na waandishi wa habari wa idara ya mawasiliano katika kanisa hilo kwa lengo la kuchukua taarifa mbalimbali juu ya tukio hili muhimu la Uinjilisti. Ziara hiyo itafanyika mwishoni mwa mwezi huu wa nne 2014.
Maoni 2 :
MUNGU awasaidie mnapojiandaa kutoa huduma kwa jamii
Muwe na moyo huo huo!!!!!!!!!!!!!!
Chapisha Maoni