Kanisa la Waadventista wa Sabato mpanda mjini linapenda kuwatangazia wakazi wote wa mji wa mpanda kuwa
kutakuwa na mkutano mkubwa wa injili ambao umeanza tayari sikubya jumapili tarehe 22/06/2014 utakuwa ni mkutano wa siku 21.wahubiri wa mkutano huo ni mwinjilist ZAKARIA LEONARD, JEREMIAH KARAANGI NA HELLEN KAULULE. ni kuanzia saa 9:30 alasiri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni