Blog hii ni ya kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda Mjini katika mkoa wa Katavi kwa habari mbalimbali na matukio mbalimbali yanayofanywa na kanisa, au idara mbalimbali zilizoko ndani ya kanisa yahusuyo Injili ya Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO.
Jumamosi, Aprili 19, 2014
JUMA LA MAOMBI IDARA YA UCHAPAJI
Nembo ya idara ya Uchapaji
Kutakuwa na juma la maombi la idara ya Uchapaji litakaloanza jumapili tarehe 20/04/2014. Ratiba ya maombi hayo kwa kanisa la Mpanda ni kuanzia saa 11:00 jioni kwa muda wa wiki nzima.