MARANATHA SDA CHOIR
JE umeshapata albamu ya kwaya ya kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda (Maranatha)?
kwaya ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda mjini mkoani Katavi ilifanya Recording ya mkanda wa video iliyorekodiwa na studio za LUCKY TIME VISION (LTV) za jijini Dar es salaam. Albam iyo inaitwa NENO LA UZIMA iliyosheheni nyimbo 12 zenye ujumbe mbalimbali kama:
U NANI WEWE?
NINAACHA YA DUNIA
MAISHA YETU YAPITA MBIO
NIMESONGWA SANA
NENO LA UZIMA
KIJITO CHA CHEMCHEM
LIPO KUSUDI
MGUSO WA IMANI
UMEKATA TAMAA
USIKAE BABELI
NITAPITIA NJIA NYEMBAMBA
SIKU INAKUJA YA HUKUMU
Kwa mahitaji yako ya DVD hiyo piga simu namba: 0765 888 401 na 0786 287 691 utaelekezwa namna ya kuipata
Maoni 1 :
Kwa kweli kanda yenu ya DVD ni nzuri sana Mbarikiwe na songeni mbele!!!!!!!
Chapisha Maoni