Juma la maombi idara ya Uchapaji kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda mjini
linaendelea vizuri.
Somo la juma la maombi la idara ya Uchapaji katika kanisa la Mpanda mjini
linaendelea vizuri. Ni somo lililosheheni visa mbalimbali vya kusisimua linaloendeshwa na
Mwinjilisti ambaye pia ni Master Guide JOHN MAWELA. Naamini kwa wale wanaohudhuria
katika juma hili la maombi wanabarikiwa sana. Juma hili la maombi litahitimishwa jumamosi hii tarehe 26/04/2014.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni