Jumamosi, Januari 24, 2015
MAHUBIRI YA SATELLITE KUANZA LEO HII JUMAMOSI 14/01/2015
Ule mkutano mkubwa wa mahubiri yatakayorushwa kupitia Televisheni ya kanisa la Waadventista wa Sabato tanzania Morning Star TV sasa kuanza hii leo jumamosi tarehe 24/01/2015 hadi tarehe 14/02/2015 saa 12:30 jioni. Masomo yatakayotolewa ni mafundisho ya ndoa, kaya na familia pamoja na hotuba ya Neno la Mungu mhubiri akiwa ni makamu wa mwenyekiti wa kanisa la Waadventista wa Sabato duniani mchungaji GEOFREY MBWANA. Washiriki wote tuendelee kuuombea mkutano huu.
Chanzo: Pr. Haruni Kikiwa-mkurugenzi wa mawasiliano SHC.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni