Katika mahubiri haya yanayoendelea ya "THAWABU YA UADILIFU" Tayari Watu 9 Wameyatoa maisha yao kwaYesu katika mahubiri yanayoendelea.Katika mikutano hii inayoendelea katika kanisa la
Waadventista wa Sabato Mpanda mjini jana
katika somo la jana (jamatano) lisemalo "UFALME WA UADILIFU UTAKAPOSIMAMISHWA" Wakati mhubir pr. GEOFREY MBWANA akitoa wito watu 9 waliyatoa maisha yao kwa YESU na wako tayari kwa ubatizo. Watu hao waligawiwa vitabu vya TUMAINI KUU na SABATO YA KWELI jumla vitabu 10.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni