Kanisa la Waadventista wa Sabato nchini linatarajia kufanya mahubiri makubwa kwa njia ya Satellite.
Mahubiri hayo yatarushwa moja kwa moja na kituo cha Televisheni cha Morningstar kinachomilikiwa na kanisa la Waadventista wa Sabato nchini. Mahubiri hayo yataanza siku ya jumapili tarehe 07 january 2015 hadi tarehe 31 january. Mhubiri atakuwa makamu wa mwenyekiti wa kanisa la Waadventista wa Sabato ulimwenguni mchungaji GEOFREY MBWANA. Washiriki wote tuombe kwa ajili ya mkutano huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni