Jumamosi, Januari 17, 2015

WAFAHAMU VIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO MPANDA MJINI 2015

Kanisa la Waadventista wa Sabato mpanda mjini liko karibu na zahanati ya Kasimba .
Wafuatao ndio viongozi watakaoliongoza kanisa la Mungu la Waadvetista wwa Sabato Mpanda mjini kwa mwaka 2015

WAZEE WA KANISA

1.Mathias Nsiku

2.Timothy Silanda

3.Simon Makoba

4.Zakaria Leonard


KARANI WA KANISA

1.Mary Kebara

2.Lenatha Pembe

3.Mathayo Apollo

 SHEMASI MKUU

1.Obard Mwanawima-kiume

2.Pudensiana Makoba -kike

HAZINA


1.Justine Wambali

2.Gershon Revocatus

HUDUMA- Mariam Pius

WATOTO - Angelina Kanyuka

UWAKILI- Jeremih Karangi

SHULE YA SABATO

1.Christopher Abel

2.Erasto Dekas

3.Neema Kimei
 4.Daniel Gimonge SS watoto

MITAMBO- Ruben Chiha

MAWASILIANO-Ellen Kaulule
 UCHAPAJI- Stephen Nyangili

WANAWAKE-Lenatha Pembe

KAYA NA FAMILIA-Chieftan Kislon

USIKIVU-Painess Fediah

SAUTI YA UNABII-Stanslaus Gasigwa

MKUU WA NYIMBO-Gershon Revocatus

AFYA NA KIASI-Ellen Kaulule

MPIGA KINANDA-Gershon Revocatus

KIONGOZI WA KWAYA-Temison Hussein

AY- John Martine

AMBASSADOR - Musa Obard

PFc - Edward Pantaleo


AC - Fredrick Nteze



Pamoja na wengine wa vitengo na idara mbalimbali ndani ya kanisa

VIONGOZI HAWA WAKO CHINI YA MCHUNGAJI WA  MTAA WA MPANDA Pr.AMOS YARAGWILLA



    Hakuna maoni:

    MPANDA SDA CHURCH