Jumatano, Aprili 23, 2014

MARANATHA SDA CHOIR

JE umeshapata albamu ya kwaya ya kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda (Maranatha)?

kwaya  ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Mpanda mjini  mkoani  Katavi ilifanya Recording  ya mkanda wa video iliyorekodiwa na studio za LUCKY TIME VISION (LTV) za jijini  Dar es salaam. Albam iyo inaitwa NENO LA UZIMA iliyosheheni nyimbo 12 zenye ujumbe mbalimbali kama:

 

  1. U NANI WEWE?

  2. NINAACHA YA DUNIA

  3. MAISHA YETU YAPITA MBIO

  4. NIMESONGWA SANA

  5. NENO LA UZIMA

  6. KIJITO CHA CHEMCHEM

  7. LIPO KUSUDI

  8. MGUSO WA IMANI

  9. UMEKATA TAMAA

  10. USIKAE BABELI

  11.  NITAPITIA NJIA NYEMBAMBA

  12. SIKU INAKUJA YA HUKUMU

     

    Kwa mahitaji  yako  ya  DVD  hiyo piga simu namba: 0765 888 401 na 0786 287 691  utaelekezwa  namna  ya  kuipata


Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Kwa kweli kanda yenu ya DVD ni nzuri sana Mbarikiwe na songeni mbele!!!!!!!

MPANDA SDA CHURCH